• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Kilimo Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Secondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Mipango Takwimu na Uuatiliaji
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali

HALMASHAURI YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE ZA SEKONDARI

Posted on: January 25th, 2021

Halmashauri ya Wilaya Missenyi imetoa vifaa vya Ujenzi vyenye thamani ya shilingi milioni 99.4 visaidie kukamilisha Ujenzi wa vyumba 19 vya madarasa vinavyohitaji kupokea wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wapatao 4,055

Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya Missenyi Projestus Tegamaisho Leo jumatatu amekabidhi mifuko ya saruji 400 na mabati 1,800 kwa viongozi wa shule zinazojenga vyumba hivyo ikiwa ni awamu ya pili halmashauri kuchangia nguvu za wananchi kwa ajili ya ukamilishaji vyumba hivyo

Tegamaisho amesema kuwa fedha zilizonunua vifaa hivyo zimetokana na mapato ya ndani ya halmashauri pia akawataka viongozi wanaosimamia Ujenzi kuhakikisha Ujenzi unakamilika ifikapo mwezi ujao

Shule za Sekondari zilizopewa vifaa hivyo katika awamu ya pili ni Kagera,Minziro,Kilimilile,Kakunyu,Mutukula,Buyango,Gablanga,Kashenye,Rugoye,Gera na Buyango Sekondari

Hii ni mara ya pili Halmashauri kutoa msaada wa vifaa vya ujenzi kwani mwishoni mwa mwezi Desemba Halmashauri ilitoa msaada wa mifuko elfu moja (1000) kwa shule tano za Sekondari zenye upungufu wa vyumba vya madarasa.

Lengo kuu la ugawaji wa misaada hii ni kukabiliana na upungufu wa wa vyumba 19 vya madarasa unayoikabiri Halmashauri ya wilaya ya Missenyi.

Sambamba na hilo, wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya Missenyi kwa nyakati tofauti wameshirikiana na wananchi katika Kata mbalimbali kujitolea katika ujenzi wa vyumba vya madarasa ili kuwezesha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza na hakuna anayebaki nyumbani kwasababu ya Upungufu wa vyumba vya madarasa.

 

Taarifa kwa hisani ya ndg Respicius John-RK

Tarifa Kwa Umma

  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2020 January 16, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 21, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 MISSENYI December 19, 2020
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA 2019 July 09, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WILAYA YA MISSENYI YAPOKEA SETI ZA VITI NA MEZA 100 KUTOKA BENKI YA MAENDELEO TIB

    February 09, 2021
  • HALMASHAURI YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE ZA SEKONDARI

    January 25, 2021
  • HALMASHAURI YATOA MKOPO WA TSH. 92,150,000.00 KWA VIKUNDI 15 VYA VIJANA NA WANAWAKE

    October 23, 2020
  • TIMU YA MENEJIMENTI YA HALMASHAURI YAKAGUA MIRADI 17 YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA NDANI YA HALMASHAURI

    October 15, 2020
  • Tazama zote

Video

Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa